Psalms 50:8-10


8 aSikukemei kwa sababu ya dhabihu zako,
au sadaka zako za kuteketezwa,
ambazo daima ziko mbele zangu.

9 bSina haja ya fahali wa banda lako,
au mbuzi wa zizi lako.

10 cKwa maana kila mnyama wa msituni ni wangu,
na pia makundi ya mifugo juu ya vilima elfu.
Copyright information for SwhKC